Kuna hiki kisa nimetumiwa kutoka kwa mdau wangu.
Leo nimeitwa sinza palestina na mtu mwenye namba +255674860978 ili nimuuzie macbook pro for 1.2m. Kufika akanipigia simu niwasiliane na mdogo wake mwenye namba +255675355699 ili nimwoneshe mzigo maana ye hatokuwepo.
Nimefika sinza huyo mdogo wake akanipigia simu nikameet nae akanipeleka kwa mguu mpaka mahali anapodai ndo nyumbani kwa huyo